Auriol Batten

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ceropegia ampliata E.Mey.

Auriol Ursula Luyt Batten (née Taylor) (Pietermaritzburg, 2 Machi 1918 - Uingereza ya mashariki, 2 Juni 2015) alikuwa akijihusisha na mambo ya mimea Afrika Kusini[1]

Auriol Batten alipata shahada yake ya masuala ya mimea katika Chuo kikuu cha Natal ndani ya Pietermaritzburg pia alisoma Sanaa katika Chuo cha Sanaa cha Durban. Aliolewa Uingereza mwashariki na kujihusisha zaidi na uchoraji wa Mauwa.

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Auriol Batten alitunukiwa tuzo ya dhahabu kutoka Royal Horticultural Society kutokana na uchoraji wake wa Maua ya Afrika ya kusini,lakini pia alipata tuzo ya heshima kutoka Chuo kikuuu cha Rhodes. Mimea imepewa majina kutokana na heshima yake, Lachenalia aurioliae, Albuca batteniana, Polycarena batteniana na Diascia batteniana.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Auriol Batten kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.