Audiolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mazoezi ya Audiolojia

Audiolojia (kutoka Kilatini: audire, "kusikia"; na Kigiriki: λόγος, logos, "elimu") ni kiwanja cha sayansi kinachohusika na masomo kuhusu sikio, kusikia na magonjwa ya masikio.

Wanaaudiolojia hutumia ujuzi wao, kupeleleza kiwango cha kusikia cha mtu binafsi na kama kuna tatizo, huweza kujua tatizo liko wapi na pia hueleza matibabu yepi yanawezekana au yanapatikana.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Audiolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.