Nenda kwa yaliyomo

Aster Vranckx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aster Jan Vranckx (alizaliwa 4 Oktoba 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ubelgiji, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "KV Mechelen schiet in actie en geeft 16-jarig talent zijn eerste profcontract". Voetbalkrant.com (kwa Kiholanzi). 2018-12-03. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aster Vranckx kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.