Ashley Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ashley Williams (alizaliwa 30 Oktoba 2000) ni mchezaji wa soka wa Timu ya taifa ya Liberia ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya LISCR FC katika ligi daraja la kwanza huko Liberia na mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Liberia chini ya miaka 20.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ashley Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.