Nenda kwa yaliyomo

Ashley Fiolek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fiolek 2011

Ashley Fiolek (alizaliwa 22 Oktoba 1990) ni mchezaji wa zamani wa mbio za motocross na muigizaji wa filamu nchini Marekani. Alishiriki mashindano ya AMA Motocross kutoka mwaka 2008 hadi 2012. Fiolek ni kiziwi ambaye huwasiliana kupitia lugha ya ishara ya Marekani, anajulikana kwa kuwa bingwa wa kitaifa katika mashindano ya AMA kwa wanawake mara nne.[1][2][3]

  1. Hello! My name is Ashley Fiolek Archived Oktoba 28, 2014, at the Wayback Machine. Ashley Fiolek Foundation. 2013.
  2. "Learning to sign with Ashley Fiolek ep. 3". YouTube. Red Bull. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-21. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)Kigezo:Cbignore
  3. "Ashley Fiolek career statistics". racerxonline.com. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ashley Fiolek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.