Ashatu Kachwamba Kijaji
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ashatu Kijaji)
Ashatu Kachwamba Kijaji (amezaliwa 26 Aprili 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kondoa kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ashatu Kachwamba Kijaji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |