Nenda kwa yaliyomo

Asano Naganori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Asano Naganori
Ukiyo-e depicting the assault by Asano Naganori on Kira Yoshinaka in the Matsu no Ōrōka of Edo Castle

Asano Naganori (浅野 長矩; 28 Septemba 166721 Aprili 1701) alikuwa daimyō wa Eneo la Akō nchini Japani (1675–1701). Alikuwa na cheo cha Takumi no Kami (内匠頭).

Anajulikana kama mtu aliyeanzisha mfululizo wa matukio yaliyosimuliwa katika hadithi maarufu inayoitwa Chūshingura, inayohusisha ronin arobaini na saba (47), mojawapo ya mada zinazopendwa sana katika kabuki, jōruri, pamoja na vitabu na filamu za Kijapani.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asano Naganori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.