Artemi
Mandhari
Artemi | |
---|---|
Mungu wa Kike wa Uwindo, Misitu, Vilima na Mwezi | |
Makao | Mlima Olimpos |
Alama | Upinde, Mishale, Kulungu dume na Mbwa wa kuwinda |
Wazazi | Zeu na Leto |
Ndugu | Apolo |
Ulinganifu wa Kirumi | Diana |
Artemi (kwa Kigiriki: Άρτεμις, Ártemis) alidhaniwa kuwa dada wa Apolo, binti wa Zeu na Leto. Katika mitholojia ya Kigiriki alikuwa mungu wa kike wa uwindo na mwezi. Analingana na Diana katika dini ya Roma ya Kale.
Hekalu lake mjini Efeso lilikuwa kati ya maajabu saba ya dunia.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |