Nenda kwa yaliyomo

Arnau Tenas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arnau Tenas Ureña (alizaliwa 30 Mei 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Official FC Barcelona Website - Barça | FCBarcelona.com | FC Barcelona". www.fcbarcelona.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arnau Tenas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.