Nenda kwa yaliyomo

Aremu Afolayan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aremu Afolayan
Amezaliwa 2 Agosti 1980 (1980-08-02) (umri 43)
Ebute Metta, Nigeria
Kazi yake Muigizaji
Ndoa ameolewa - Kafilat Olayinka
Watoto 1

Aremu Afolayan ni mwigizaji wa filamu wa Nigeria ni kaka wa Kunle Afolayan, muongozaji wa filamu na mjasiriamali.[1][2]

Taaluma na maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Aremu Afolayan ni Myoruba kutoka jimbo la Kwara.[3] Ni mmoja wa watoto wa muongozaji wa filamu maarufu na mfanya michezo ya maigizo ya jukwaani Ade Love. Alianza kujulikana zaidi katika filamu ya Idamu akoto ya mwaka 2009.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Aremu Afolayan ameoana na Kafilat Olayinka na wana binti mmoja aitwae Iyunade Afolayan.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "'Why I don't star in my brother's films' – Aremu Afolayan". Nigerian Entertainment Today. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-14. Iliwekwa mnamo 2016-04-27. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. Gbenga Bada. "Kunle Afolayan's brother lambasts Oga Bello, Yinka Quadri, others for campaigning for politicians", Pulse. Retrieved on 2020-11-04. Archived from the original on 2016-02-03. 
  3. Clement Ejiofor. "Yoruba Actor Aremu Afolayan Reveals Why He Prefers Older Women", Naij. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aremu Afolayan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.