Nenda kwa yaliyomo

Arafa Salim Said

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arafa Salim Said
Amezaliwa10 Machi 1987 (1987-03-10) (umri 39)
UtaifaMtanzania
Kazi yakeMshauri wa Jamii kuhusu afya na ugonjwa wa selimundu

Arafa Salim Said (alizaliwa 10 Machi, 1987[1]) ni mmoja kati ya wanawake mashuhuri nchini Tanzania wenye kuisaidia jamii kwa kutoa elimu na ufafanuzi juu ya ugonjwa wa selimundu (kwa Kiingereza: sickle cell anaemia).[2]

Pia ni mwanzilishi wa Taasisi ya Sickle Cell Diseased Patients Community of Tanzania.[3]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-27. Iliwekwa mnamo 2018-09-08.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-27. Iliwekwa mnamo 2018-09-08.
  3. http://www.mwananchi.co.tz/habari/habari-ya-ndani/-Mwanamke-aliyejitosa-kutokomeza-selimundu/1724700-2497854-pa18cq/index.html
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arafa Salim Said kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.