Nenda kwa yaliyomo

Aquae (Numidia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aquae in Numidia ni mji wa zamani wa Kirumi na uaskofu wa zamani; kwa sasa ni jimbojina la Kanisa Katoliki la Kilatini lililopo nchini Algeria [1].

Historia[hariri | hariri chanzo]

Zamani, mji huo (ulipo karibu na Henchir-El-Hamman ya leo) ulikuwa muhimu sana katika jimbo la Kirumi la Numidia, hata ukawa na cheo cha dayosisi. Hata hivyo, baadaye ulipoteza umuhimu wake na kufifia[2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aquae (Numidia) kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.