Aparajita Datta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aparajita_Datta

Aparajita Datta (alizaliwa mnamo 1970) ni mwanaikolojia wa wanyamapori ambaye anafanya kazi katika Shirika la Uhifadhi wa Mazingira nchini India. [1] Utafiti wake katika misitu minene ya kitropiki ya Arunachal Pradesh umesaidia, kuondoa wawindaji haramu. Mnamo 2013, alikuwa mmoja wa wahifadhi nane waliopokea Tuzo la Whitley.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dr. Aparajita Datta – Wild Shades Of Grey". Sanctuary Asia, Vol. XXXV. 6 June 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-29. Iliwekwa mnamo 8 February 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aparajita Datta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.