Nenda kwa yaliyomo

Antonios Papadopoulos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papadopoulos akichezea Borussia Dortmund mnamo 2023

Antonios Papadopoulos (alizaliwa 10 Septemba 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Antonios Papadopoulos | Borussia Dortmund | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonios Papadopoulos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.