Antonio Stradivari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Antonio Stradivari

Antonio Stradivari (matamshi: [antɔːnjo stradivaːri]; 1644 - 18 Desemba 1737) alikuwa mtengenezaji wa vifaa vya muziki vya nyuzi kama violini toka Italia.

Anaaminika kuwa ni mmoja wa watu mashuhuri kabisa kwenye fani hii. Inakadiriwa kuwa katika maisha yake alitengeneza ala za muziki 1,116, kati ya hizo 960 zilikuwa violini.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Stradivari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.