Nenda kwa yaliyomo

Antonio Caggiano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonio Caggiano (30 Januari 188923 Oktoba 1979) alikuwa Askofu Mkuu na Kardinali wa Kanisa Katoliki nchini Argentina.

Alijulikana kwa jukumu lake katika kusaidia wafuasi wa Nazi na wahalifu wa kivita kuepuka kushitakiwa barani Ulaya kwa kurahisisha safari yao ya kuhamia Amerika Kusini.[1]

  1. Quoted by Horacio Verbitsky, in The Silence, extract transl. in English made available by openDemocracy: Breaking the silence: the Catholic Church in Argentina and the "dirty war" Archived 2006-11-22 at the Wayback Machine, July 28, 2005, p.4
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.