Antonia Hylton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Antonia Hylton (alizaliwa mnamo mwaka 1993)[1] ni mwandishi wa habari wa nchini Marekani na mshindi wa tuzo ya Emmy Award.

Maisha na Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Hylton amekulia katika jiji la Boston, akiwa ni mmoja kati ya watoto saba katika familia yake.[2][3] Wazazi wake wote wawili walikuwa ni wanasheria [2] na shangazi yake alikuwa ni mwandishi wa habari aliyejulikana kwa jina la Soledad O'Brien.[4] Hylton alikuwa ni muandaaji wa kwaya na muandaaji wa muziki, mnamo mwaka 2015 alihitimu katika chuo kikuu cha Harvard University Mara baada ya kuhitimu chuo kikuu, aliajiriwa na Mic Media Company kama muandaaji wa vipindi vya Flip the Script and Future Present.[2] na huko ndipo alipokutana na mwanaharakati Darnell L. Moore wakati anafanyakazi.Kwa pamoja katika kipindi cha The Movement with Darnell Moore Mwaka mmoja baadae Hylton alijiunga na Vice News Tonight kama mchambuzi na mtayarishaji wa makala katika masuala ya kiraia na haki za binadamu[2] aliripoti matukio ya uhalifu na uhamiaji.[2][5]

Hylton aliendelea na kipindi hicho katika Ouibi kabla ya kipindi chake kuzuiliwa[3][6] kwa sasa ni mtangazji katika kituo cha NBC News.[7]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonia Hylton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.