Antoinette Ouédraogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antoinette Nongoba Ouédraogo ni mwanasheria na mtetezi wa haki za wanawake wa Burkina Faso pia ni mwanamazingira na alikuwa mwanamke wa kwanza kuwa mwanasheria nchini Burkina Faso[1].

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Ouédraogo alisomea katika chuo cha wasichana cha Loumbila huko Loumbila mji mkuu wa wilaya ya Loumbila ndani ya mkoa wa Oubritenga.[1].

Maisha ya kazi[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 17 Juni 2006 Ouédraogo alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha wanasheria wa Burkina Faso[2]. Kwenye siku ya wanawake kimataifa mwaka 2007, aliongea kuhusu unyanyasaji kwa wanawake, haswa kuhusu ubakaji[3]. Ouédraogo ni mwenyekiti wa chama cha maendeleo cha wanawake na mhusika wa kikundi cha wataalamu wa mabadiliko ya hali ya hewa ya nchi.[4]. Aliweza kuongea kwamba kutokuwepo kwa usafi wa mazingira, ujangili na utafutaji wa maeneo mapya kwa ajili ya ufugaji hupelekea kuongezeka kwa mabadiliko ya hali ya hewa.[4].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Watson, Keith; Ozanne, William I. (2013-09-13). Education and Religion: Global Pressures, Local Responses (kwa Kiingereza). Routledge. ISBN 978-1-135-75332-0. 
  2. Rupley, Lawrence; Bangali, Lamissa; Diamitani, Boureima (2013-02-07). Historical Dictionary of Burkina Faso (kwa Kiingereza). Scarecrow Press. ISBN 978-0-8108-8010-8. 
  3. "Me Antoinette Nongoba Ouédraogo, bâtonnier de l'Ordre des avocats : “On ne m'a pas appris à raser les murs” - leFaso.net". lefaso.net. Iliwekwa mnamo 2022-02-21. 
  4. 4.0 4.1 "United Nations Maintenance Page". maintenance.un.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-21. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoinette Ouédraogo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.