Ant-Man (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
nembo ya Ant-Man
waigizaji


Ant-Man ni filamu ya Amerika ya Kaskazini iliyotengenezwa na Marvel Studios. Ni filamu ya kumi na mbili kwenye Marvel Cinematic Universe (MCU). Filamu hiyo ilielekezwa na Peyton Reed, na picha iliyoonyeshwa na timu za uandishi za Edgar Wright na Joe Cornish, na Adam McKay na Paul Rudd.

Mhusika mkuu wa filamu hii ni Scott Lang / Ant-Man,na Evangeline Lilly, Corey Stoll, Bobby Cannavale, Michael Peña, Tip "T.I." Harris, Anthony Mackie, Wood Harris, Judy Greer, David Dastmalchian, na Michael Douglas kama Hank pym.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ant-Man (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.