Anke Pietrangeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Anka pietrangeli
Amezaliwa 16 novemba 1982
Afrika kusini
Nchi Afrika kusini
Majina mengine The kimberley Diamond
Kazi yake mwimbamziki

Anke Pietrangeli (alizaliwa 16 Novemba, 1982) ni mwimbaji wa nchini Afrika Kusini. Alikuwa mshindi wa msimu wa pili wa mfululizo maarufu wa utafutaji vipaji wa Idols nchini Afrika Kusini mwaka 2003. [1]

Anke pia alikuwa na jina la utani la The Kimberley Diamond. Pietrangeli alishawishika kuingia na kaka yake, Sven, ambaye siku zote alikuwa na hakika kwamba dada yake atakuwa nyota. [1]

Orodha ya kazi za kimuziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu

Rekodi moja moja

  • Silver Lining
  • By Heart
  • We're Unbreakable
  • My Radio
  • Stay If You Will

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anke Pietrangeli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.