Angham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Angham akiwa na mume wake wa zamani Fahd katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kuwait mwaka 2005 kwa ziara fupi ya kutembelea familia ya Fahd.
Angham 2015

Angham Mohamed Ali Suleiman alizaliwa 19 Januari 1972, anayejulikana kwa jina moja la Angham ( Arabic ), ni mwimbaji wa Misri, msanii wa kurekodi, na mwigizaji. rekodi yake ya kwanza ilikuwa mwaka 1987 chini ya uongozi wa baba yake, Mohammad Suleiman. Kufuatia talaka yake kutoka kwa Magdy Aref mnamo 2000, Angham alibadili mtindo wake wa muziki baada ya rekodi ya Leih Sebtaha ( Why Did You Leave Her) uliomuweka katika nafasi nzuri kimuziki huko Mashariki ya Kati. Baada ya ugomvi uliotangazwa sana kati yake raisi Mohsen Gaber na msanii huyo, [1] Alihamia kampuni nyingine ya kurekodi, kwa jina Rotana .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Archived copy. www.l7en.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 27 September 2007. Iliwekwa mnamo 13 January 2022.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.