Angel Wanjiru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Angel Wanjiru Ngugi
Nchi Kenya
Kazi yake Mwanamuziki

Angel Wanjiru Ngugi (alizaliwa 2003) ni mwanamuziki wa nchini Kenya[1]. Mnamo 16 Desemba 2019, alipokea tuzo ya MTM nchini Uingereza. [2]


Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Wanjiru alizaliwa akiwa na ugonjwa wa kuzaliwa unaoitwa hydrocephalus. Mama yake ni Anne Ngugi, mtangazaji wa BBC nchini Kenya.

Kutokana na hali yake hiyo, ana kichwa kikubwa kuliko watu wengine. Hali yake inamuweka kwenye uonevu mwingi, kejeli na matatizo ya kiafya. Hata hivyo, alitoa wimbo wake wa kwanza uitwao Nataka Jua, (ukimaanisha, nataka kujua ) mwaka 2016 na akatoa albamu yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 14. [3] [4] [5]

Orodha ya kazi za muziki[hariri | hariri chanzo]

  • Nataka Jua (2016)
  • Story of My Life (2019)

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • 2019 - Alishinda tuzo katika kitengo cha Voice Achievers Award [6] [7]
  • 2019 - Alipokea tuzo ya wanzilishi katika tuzo za Chaguo la MTM nchini Uingereza

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Accept yourself just as you are". BBC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-21. 
  2. Nyota, Caren (17 December 2019). "Anne Ngugi's daughter wins prestigious award in UK". The Star (kwa en-KE). Iliwekwa mnamo 2019-12-21.  Check date values in: |date= (help)
  3. Muli, Davis. "Anne Ngugi's daughter in new collabo, featured in 'Niko sawa'". Standard Digital News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-21. Iliwekwa mnamo 2019-12-21. 
  4. "TV anchor's daughter wows internet with BBC interview". Business Today Kenya (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-12-21. 
  5. "'Never Give up': Young Girl's Faith with Rare Condition Inspires Others". LightWorkers (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-21. Iliwekwa mnamo 2019-12-21. 
  6. "Ex-KTN Anchor Ann Ngugi's Daughter Moves Audience With Powerful Speech". Kenyans. Iliwekwa mnamo 2019-12-21. 
  7. "PRESS RELEASE: The Voice Achievers Award Releases names of Awardees for 2019". The Voice (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-12-21. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angel Wanjiru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.