Nenda kwa yaliyomo

Angekuona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Angekuona”
“Angekuona” cover
Kava la "Angekuona"
Single ya Aslay
Imetolewa 10 Aprili, 2017
Muundo Upakuzi wa mtandaoni
Imerekodiwa 2017
Aina Bongo Flava
Urefu 3:46
Studio Banny Music
Mtunzi Aslay
Mtayarishaji Zest
Mwenendo wa single za Aslay
"Naenda Kusema"
(2011)
"Angekuona
(2017)
"Usiitie Doa"
(2017)

Angekuona ni jina la wimbo ulitoka 10 Aprili, 2017 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Aslay. Wimbo umetayarishwa na Zest kupitia studio za Banny Music za jijini Dar es Salaam. Huu ndio wimbo wa kwanza wa Aslay kutoa tangu atoke Yamoto Band na wa nne kutolewa rasmi akiwa kama msanii wa kujitegemea. Kabla ya kuundwa Yamoto, Aslay alitoa wimbo wa "Nakusemea", "Umbea" na "Bado Mdogo".[1] Wimbo anamwimbia mwanae anatamani mama yake mzazi Aslay angemuona mtoto huyu. Mama yake Aslay akufariki 2015.[2][3][4] Video ya wimbo huu imeongozwa na Steve Manrizo.

  1. Aslay na Yamoto Ilihifadhiwa 30 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine. katika wavuti ya Saluti5
  2. Aslay afiwa na mama mzazi Ingizo la tarehe 12 Septemba, 2015 katika wavuti ya EATV.
  3. Bongo star Dogo Aslay loses mum Ilihifadhiwa 16 Julai 2017 kwenye Wayback Machine. kifo cha mama Aslay katika wavuti ya The-Star ya Kenya, ingizo la Sep. 14, 2015.
  4. Aslay: Mama Yangu Alifariki hakumuona Mwanangu, Angekuona ni Maalum Kwa Mwanangu sio Demu Wangu Aslay katika studio za Times FM alielezea maana ya wimbo. Ingizo la Jun 7, 2017.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]