Andriy Lunin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andriy Lunin

Andriy Oleksiyovych Lunin (alizaliwa 11 Februari 1999) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kipa wa klabu iliyopo nchini Hispania ya Real Madrid, na timu ya taifa ya Ukraina.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Real Madrid[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 19 Juni 2018, Real Madrid ilifikia makubaliano na Lunin kusaini katika klabu hiyo kwa milioni 8.5 na mpango wa nyongeza wa milioni 5.

Mpango huo ulihitimishwa siku nne baadaye, na akawa mchezaji wa kwanza kuichezea klabu hiyo kutoka ukraine.Mnamo 27 Agosti 2018, alikopwa na kwenda katika klabu ya karibu iitwayo CD Leganés, kwa msimu huo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andriy Lunin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.