Nenda kwa yaliyomo

Andrea Moletta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andrea Moletta (alizaliwa Cittadella, Padova, 23 Februari 1979) ni mtaalamu wa mbio za baiskeli za barabarani wa Italia kwa timu ya UCI Continental Miche-Silver Cross.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea Moletta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.