Anastazia James Wambura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Anastazia Wambura)

Anastazia James Wambura ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017