Anarkali Kaur Honaryar
Mandhari
Anarkali Kaur Honaryar ni mwanasiasa wa Sikh wa Afghanistan.[1] Yeye pia ni mwanaharakati wa haki za wanawake na daktari wa meno.[2]
Kulikuwa na Wasikh na Wahindu wapatao 30,000 pekee nchini Afghanistan, Anarkali Kaur Honaryar ni mmoja wao. Yeye ni mjumbe wa kwanza asiye Mwislamu katika Bunge la Afghanistan.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "2011 UNESCO-Madanjeet Singh Prize for the Promotion of Tolerance and Non-Violence to be awarded to Anarkali Honaryar (Afghanistan) and Khaled Abu Awwad (Palestine)". UNESCO. 16 Novemba 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Sambuddha Mitra Mustafi. "Afghanistan's Sikh heroine fights for rights".
- ↑ "Dr. Anarkali Kaur Honaryar". Sikh Foundation International. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anarkali Kaur Honaryar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |