Anamudi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Anamudi.

Anamudi ni mlima wenye kimo cha m 2,675 juu ya usawa wa bahari.

Uko katika jimbo la Kerala, nchini India na ndio mrefu kuliko yote ya rasi ya India.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Anamudi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.