Anakonda
Mandhari
(Elekezwa kutoka Anaconda)
Anakonda | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Anakonda kijani (Eunectes murinus)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Spishi 4:
|
Anakonda ni nyoka wakubwa sana wa jenasi Eunectes katika familia Boidae. Anakonda kwa umbile ni mkubwa zaidi ya chatu lakini wanafanana katika kutafuta mawindo yao kwani wote huvizia viumbehai wengine wapite katika mazingira yao kwa karibu na kuwaweka katika mtego kwa ajili ya kujipatia chakula.
Anapatikana Amerika Kusini ya kitropiki hususani katika Msitu wa Amazoni huko Brazil.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Eunectes beniensis, Anakonda wa Bolivia (Bolivian anaconda)
- Eunectes deschauenseei, Anakonda Madoa-meusi (Dark-spotted anaconda)
- Eunectes murinus, Anakonda Kijani (Green anaconda)
- Eunectes notaeus, Anakonda Njano (Yellow anaconda)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Anakonda wa Bolivia
-
Anakonda kijani aliyekamatwa
-
Anakonda njano
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anakonda kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |