Anaïs Orsi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anais Orsi ni mwanasayansi wa hali ya hewa anayesomea kuhusu ongezeko la joto duniani kupitia mabadiliko ya barafu ya polar. [1]

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Orsi alipokea Shahada ya Uzamili katika Uhandisi kutoka chuo cha Ecole Polytechnique mwaka 2007. Alipata Shahada ya Uzamili katika Chuo Kikuu cha California, San Diego, [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Scott, Chris. "Female scientists blazing new trails", San Diego Union-Tribune, July 8, 2012. (en-US) 
  2. "Anais Orsi". Le Laboratoire des Sciences du Climat et de l'Environnement (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2020-07-14. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anaïs Orsi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.