Amira Selim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Amira Selim
Amezaliwa
Kairo
Nchi Ufaransa
Kazi yake Mwimbaji wa soprano

JINA Faili:PICHA MAELEZO Amezaliwa 00.00.9999 ABC Amekufa 22.33.8888 MAHALI Nchi TAKATUKALAND Majina mengine ABC DEF Kazi yake POA

Amira Selim (amezaliwa Cairo, Misri ) ni mwimbaji wa soprano wa Misri, mwimbaji wa opera, makazi yake ni nchini Ufaransa.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Selim alizaliwa huko Cairo, binti ya mpiga kinanda Marcelle Matta na mchoraji Ahmed Fouad Selim . Baada ya kusoma kutumia kinanda, kucheza ballet na uchoraji, alianza mafunzo ya sauti na uimbaji wa Kiitaliano nchini Italia akiwa na soprano Gabriella Ravazzi mwaka wa 1993 na kuhitimu Cairo Conservatoire mwaka wa 1999. Mnamo Oktoba 2001, alipata ufadhili wa masomo kutoka Serikali ya Ufaransa kusoma na soprano Caroline Dumas katika shule ya École Normale de Musique de Paris, ambapo alipata Diplôme supérieur de concertiste(stashahada) mwaka wa 2004.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amira Selim kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.