Amarachi Nwosu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha ya Amarachi Nwosu

Amarachi Nwosu (alizaliwa 29 Septemba 1994) ni mpiga picha, msanii wa picha, mtengeneza filamu, mwandishi na mzungumzaji Mnaigeria mwenye asili ya Marekani aliyefanya kazi zake katika jiji la New York.[1][2] Alikua muanzilishi wa Melanin Unscripted,[3] jukwaa la ubunifu na shirika linalolenga kuvuruga imani potofu ya tamaduni kwa kuweka wazi utambulisho na tamaduni ngumu duniani kote.[4]Filamu yake ya kwanza ya "Black in Tokyo[5]" katika [Kituo cha Kimataifa cha Upigaji picha]] katika Makumbusho ya ICP, New York City mwaka 2017 na pia ameigiza filamu hiyo katika mji wa Tokyo, Japan katika Ultra Super New Gallery iliyopo Harajuku.[6][7]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa na wazazi wa Nigeria ambao ni Waigbo, Waitsekiri na urithi wa Ghana,[8] Amarachi alikulia Washington DC na kuishi maisha yake ya mwanzo katika miji ya Port Harcourt, Nigeria na New York .[6]

Nwosu alienda shule katika chuo cha Temple kilichopo Philadelphia lakini alihamia Tokyo katika mwaka wake mdogo baada ya kushinda udhamini sita ili kuweza kusoma mwaka mmoja nje ya nchi kama mwanafunzi wa kimataifa ambapo alisoma shahada katika Mawasiliano ya Kimataifa. Alirudi shuleni katika jimbo ili kumaliza shahada yake na kurudi Tokyo kujifunza Kijapani na kufanya kazi kama ubunifu wa wakati wote ambapo alikuwa sehemu ya uzinduzi wa [Highsnobiety]] nchini Japan na wateja kama Beats Electronics na Sony Music Entertainment Japan.[7]

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

  • Alitajwa na The Fader kama sehemu ya watu baridi zaidi kuunda eneo la muziki la Tokyo
  • [OkayAfrica| Okay Africa]] ilimtaja katika kampeni yao ya wanawake ya mwaka 2019, 100 kusherehekea Mwezi wa Historia ya Wanawake.[9]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amarachi Nwosu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.