Amadou Lamine Sall
Mandhari
Amadou Lamine Sall (alizaliwa Kaolack, Senegal, 26 Machi 1951) ni mmoja wa washairi wakuu wa Kiafrika.
Leopold Sedar Senghor alisema juu yake ndiye mshairi mwenye ujuzi zaidi wa kizazi chake. Yeye ni mpokeaji wa toleo la 2018 za Tuzo ya Mashairi ya Kiafrika inayotolewa kwa heshima ya Tchicaya U Tam'si huko Moroko.
Amadou Lamine Sall ndiye mwanzilishi wa Nyumba ya Afrika ya mashairi ya Kimataifa, na anaongoza Shirika la Kimataifa la Mashairi huko Dakar, Senegal.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amadou Lamine Sall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |