Nenda kwa yaliyomo

Alpay Özalan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alpay Özalan
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUturuki Hariri
Nchi anayoitumikiaUturuki Hariri
Jina katika lugha mamaAlpay Özalan Hariri
Jina halisiAlpay Hariri
Jina la familiaÖzalan Hariri
Tarehe ya kuzaliwa29 Mei 1973 Hariri
Mahali alipozaliwaİzmir Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKituruki Hariri
Kaziassociation football player, politician Hariri
MwajiriSamsunspor (football) Hariri
Nafasi ilioshikiliwaMember of the Grand National Assembly of Turkey Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Muda wa kazi1992 Hariri
Mwanachama wa chama cha siasaJustice and Development Party Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2002 FIFA World Cup, UEFA Euro 1996, UEFA Euro 2000 Hariri
LigiBundesliga, 2. Bundesliga, Ligi Kuu Uingereza Hariri
Tovutihttp://www.alpayozalan.net Hariri

Alpay Özalan (alizaliwa 29 Mei 1973) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uturuki. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uturuki.

Özalan ameichezea timu ya taifa ya Uturuki tangu mwaka wa 1995. Özalan alicheza Uturuki katika mechi 90, akifunga mabao 4.[1]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

[1]

Timu ya Taifa ya Uturuki
Mwaka Mechi Magoli
1995 15 1
1996 13 0
1997 5 0
1998 5 0
1999 7 0
2000 5 0
2001 11 3
2002 11 0
2003 12 0
2004 0 0
2005 6 0
Jumla 90 4

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Alpay Özalan at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alpay Özalan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.