Alor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Alor ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Timor. Eneo la kisiwa ni takriban 2800 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Kalabahi. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 145,299.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.