Allianz (Uwanja wa mpira)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Allianz meche ikichezeka usiku.

Allianz ni uwanja wa mpira wa miguu/soka unaopatikana katika mji wa Turin,nchini Italia. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Juventus ya Serie A.

Ulifunguliwa mwanzoni mwa msimu wa 2011-12 na una uwezo wa kuchukua watazamaji zaidi ya 41,000.Ulijengwa pembezoni mwa Stadio delle Alpi.


Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allianz (Uwanja wa mpira) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.