Alice Munro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Alice Munro.jpg

Alice Ann Munro (amezaliwa 10 Julai, 1931 mjini Wingham, Ontario) ni mwandishi kutoka nchi ya Kanada. Hasa ameandika hadithi fupi. Mwaka wa 2013 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Munro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.