Ali Mazrui (filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali Mazrui; ni filamu inayoelezea maisha ya Mwanasiasa Ali Al- amin Mazrui aliyezaliwa mwaka 1933 mwezi wapili tarehe 24 na alifariki mwaka 2014 tarehe 12 Mwezi wakumi.Ali Al-amin Mazrui alizaliwa Mombasa nchini Kenya na baadae kufanya kazi katika taasisi ya elimu nchini Marekani akiwa Profesa na muandishi wa masuala ya siasa za Africa , masomo ya Kiislamu pamoja na uhusiano wa Korea ya kaskazini.alishikilia nafasi kama kiongozi mkuu wa taasisi ya kimataifa ya masuala ya utamaduni katika chuo cha Binghamton kilichopo Binghamton,New York.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Mazrui (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.