Aliénor Rougeot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aliénor Rougeot
Aliénor Rougeot
Aliénor Rougeot
Alizaliwa Januari 1999
Kazi yake mwanaharakati wa haki za hali ya hewa nchini Kanada

Aliénor Rougeot (alizaliwa Januari 1999) [1] ni mwanaharakati wa haki za hali ya hewa nchini Kanada pamoja na Ufaransa. [2][3][4][5]Rougeot alikua maarufu nchini Kanada kama mratibu wa Mgomo wa haki za Hali ya hewa. Aliénor ni kiongozi wa harakati ya Fridays for Future Strikes ya Toronto. Harakati iliyojihusisha sana na wanafunzi na hufanyika siku ya Ijumaa na kufanya wanafunzi kukosa shule siku hiyo na kuhudhuria elimu ya ufahamu wa mabadiliko ya hali ya hewa. Mnamo mwaka 2019 aliongoza mgomo wa shule wa Fridays for Future Strikes huko Toronto ambao ulihusisha zaidi ya watu 50,000.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aliénor Rougeot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.