Algeria kwenye Michezo ya Ufukweni ya Afrika ya 2019

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya Algeria

Algeria ilishindana katika Michezo ya Ufukweni ya Afrika huko Sal, Cape Verde kutoka 14 hadi 23 Juni 2019. Kwa jumla wanariadha wanaoiwakilisha Algeria walipata medali tano za dhahabu, medali sita za fedha na medali tano za shaba. [1] Nchi ilimaliza katika nafasi ya 2 kwenye jedwali la medali. [1]

Muhtasari wa medali[hariri | hariri chanzo]

Medali kwa michezo
Michezo 1 2 3 Jumla
3 × 3 mpira wa kikapu 0 1 0 1
Riadha 1 0 0 1
Mpira wa mikono ufukweni 0 0 1 1
Soka ya ufukweni 0 1 0 1
Upigaji makasia ufukweni 2 1 0 3
Mtindo huru wa soka 0 1 1 2
Katate 1 2 1 4
Kitesurfing 0 0 1 1
Kuogelea kwa maji wazi 1 0 1 2

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Results. 2019 African Games Beach. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-06-20. Iliwekwa mnamo 4 February 2020.