Nenda kwa yaliyomo

Alfred Mutua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfred Nganga Mutua.

Alfred Nganga Mutua (alizaliwa 22 Agosti 1970) ni mwandishi wa habari na mwanasiasa wa Kenya ambaye ni waziri wa sasa wa utalii na wanyamapori.

Hapo awali alihudumu kama waziri wa masuala ya kigeni na diaspora chini ya rais William Ruto. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "President Ruto unveils his Cabinet - Full List". Citizen Digital (kwa Kiingereza). 2022-09-27. Iliwekwa mnamo 2022-10-04.
  2. Duncan Miriri and George Obulutsa (27 September 2022), Ex-central bank chief named Kenyan finance minister amid rising inflation Reuters.