Alexandre Lacazette

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Lacazette
Alexandre Lacazette

Alexandre Lacazette (amezaliwa 21 Mei 1991) ni mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa.

Mchezaji huyu ambaye kachezea ligi tofauti, ligi hizo ni ya Ufaransa na ligi ya Uingereza. Mpaka sasa mchezaji huyu alihamishwa kutoka Lyon ya Ufaransa kwenda timu ya ligi kuu ya England ya Arsenal ambayo mpaka sasa anachezea timu hiyo ya mpira wa miguu.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexandre Lacazette kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.