Nenda kwa yaliyomo

Alexander Van der Bellen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alexander Van der Bellen (alizaliwa 18 Januari 1944) ni mwanasiasa wa Austria ambaye ni Rais wa sasa wa Austria tangu tarehe 26 Januari 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexander Van der Bellen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.