Nenda kwa yaliyomo

Aldo Mongiano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aldo Mongiano, I.M.C. (Pontestura, Italia, 1 Novemba 191915 Aprili 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki aliyetoa huduma nchini Brazil.

Mongiano aliwekwa wakfu kuwa padre tarehe 3 Juni 1943, akiwa katika shirika la Wamisionari wa Consolata. Mongiano aliteuliwa kuwa askofu wa Jimbo la Roraima na pia askofu wa Kiti cha Nasai mnamo 14 Mei 1975, na akawekwa wakfu tarehe 5 Oktoba 1975.[1]

  1. "È morto mons. Aldo Mongiano" (kwa Italian). Il Monferrato. 15 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.