Albert wa Brandenburg
Mandhari
Albert wa Brandenburg (28 Juni 1490 – 24 Septemba 1545) alikuwa Kardinali wa Ujerumani, Askofu Mkuu wa Mainz kutoka 1514 hadi 1545, na Askofu Mkuu wa Magdeburg kutoka 1513 hadi 1545.
Kupitia uuzaji wake mashuhuri wa msamaha wa dhambi (indulgences), alisababisha kuzuka kwa Matengenezo ya Kiprotestanti yaliyosimamiwa na Martin Luther, na baadaye akawa mpinzani wake mkubwa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Here I Stand: A Life of Martin Luther, by Roland H. Bainton. 422 pp. New York, Nashville, Abingdon-Cokesbury Press, 1950. $4.75". Theology Today. 8 (4): 558. Januari 1952. doi:10.1177/004057365200800413. ISSN 0040-5736. S2CID 220988389.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |