Alamisho mtandao

Alamisho mtandao kwenye kivinjari kimoja kinaitwa Firefox.
Katika utarakilishi na mtandao, alamisho mtandao (kwa Kiingereza: digital bookmark) ni rasilimali ya mtandao inayotumika ili kutunzia anuani ya mtandao katika kivinjari. Alamisho mtandao inaitwa 'kipendwa" kwenye Internet Explorer ya Windows.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).