Nenda kwa yaliyomo

Al Famau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Al Famau ilikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]