Nenda kwa yaliyomo

Al-Farouq Aminu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
AL Farouq Aminu

Al-Farouq Ajiede Aminu (amezaliwa Septemba 21, 1990 ) ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili ya mchanganyiko katika ya Mmarekani na Mnigeria. Al-Farouq anachezea timu ya Orlando Magic ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Kimataifa anachezea timu ya taifa Nigeria. Aminu alichaguliwa katika timu ya Los Angeles Clippers katika machaguzi ya wachezaji mnamo mwaka 2010 kama chagua la nane. Pia alifanikiwa kuzichezea timu za New Orleans, Dallas Mavericks na Portland Trail Blazers. [1]


Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-19. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al-Farouq Aminu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.