Orlando Magic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orlando Magic ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Orlando, Florida. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Aaron Gordon.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Amway Center, Uwanja wa Magic's Tangu mwaka 2010


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Orlando Magic kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.