Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Akronimu ni neno lililoundwa kutokana na herufi au silabi za mwanzo za majina.
Mifano ni
- BAKITA, ambalo ni akronimu kwa "Baraza la Kiswahili la Taifa",
- TATAKI kwa "Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili",
- NATO kwa North Atlantic Treaty Organization